Tuesday, 23 February 2016

ASKOFU MOKIWA AONGOZA MISA MSIBA WA CANON HEBERT MNDOLWA.




Akofu Valentino Mokiwa wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Dar-es-salaam akiongoza misa msiba wa Canon Hebert Mndolwa aliyefariki 19 Februari 2016.


Mwili wa Canon Mndolwa ukiingizwa katika gari tayari kwa kusafirishwa kijijini Tongwe wilaya ya Muheza mkoani Tanga.

Saturday, 20 February 2016

MISA KUOMBEA UKARABATI WA NYUMBA YA ASKOFU KANISA ANGLIKANA DAYOSISI YA DAR-ES-SALAAM.

NYUMBA YA ASKOFU INAYOHITAJI UKARABATI ILIYOPO OYSTER BAY DSM.






Vicar General John Mlekano[mbele] akiongoza misa


Vicar General John Mlekano akifanya maombi kuzunguka jingo la nyumba hiyo.


Askofu Valentino Mokiwa wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Dar-es-salaam akiwaeleza Mapadre,wainjilist na wafanyakazi wa Dayosisi sehemu mbalimbali za nyumba hiyo zinazohitajika kufanyiwa ukarabati.



Sunday, 7 February 2016

MISA KIPAIMARA KANISA LA ANGLIKANA ST ALBANO UPANGA.

Askofu Mokiwa akiwa na Mama Janeth Magufuli[Mke wa rais Magufuli ]baada ya Misa ya Kipaimara.


First Lady Mama Janeth Magufuli akisaini kitabu cha wageni kanisa Anglikana St Albano Upanga-DSM.

Askofu Mokiwa akizungumza na Mama Janeth Magufuli[Mke wa  raisi John Pombe Magufuli baada ya Ibada ya Kipaimara.
 
                                       Askofu Dr Valentino Mokiwa akiongoza misa ya Kipaimara.

KIPAIMARA JAN 2016 KANISA ANGLIKANA ST ALBANO UPANGA.

                              Wahitimu Kipaimara St Albano Upanga Jan 2016.
mke wa raisi John Pombe Magufuli[Mama Janeth magufuli ]akiwa na wahitimu wa Kipaimara.

PICHA,MATUKIO KUFUNGUA MWAKA 2016 MAPADRE,WAINJILISTI NA WAFANYAKAZI WA DAYOSISI.

Mke wa Askofu Mokiwa Mama Grace Mokiwa akikata keki
Askofu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Dar-es-salaam Dr Valentino Mokiwa akizungumza na Mapadre,Wainjlisti wafanyakazi wa Dayosisi na wageni waalikwa.
Wageni rasmi-Watoto yatima kituo cha Valentine Childen's home-Buza.