Tuesday, 25 April 2017

MAASKOFU TOKA UGANDA NA KENYA WAFANYA ZIARA DAYOSISI YA DAR ES SALAAM.

KAIMU KATIBU MTENDAJI WA DAYOSISI FR LAMECK NDOMBA AKIMPOKEA ASKOFU YONA M.TOKA NCHINI UGANGA MARA BAADA YA KUWASILI KATIKA VIWANJA VYA DAYOSISI.

ASKOFU YONA AKISAINI KITABU CHA WAGENI OFISI YA DAYOSISI.

CANON GRACE KAISO KATIBU MKUU MAKANISA YA KI ANGLIKANA KANDA YA AFRIKA WA TOKA NCHINI KENYA AKIZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA OFISI KUU YA DAYOSISI AMBAPO ALIWAASA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA MAADILI NA KUTOJIINGIZA KATIKA MIGOGORO.

WAFANYA KAZI OFISI KUU WAKIONGOZWA NA KATIBU MKUU WA JIMBO KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAGENI.