Friday, 28 July 2017

MSIBA.

VIGAR GENERAL AKISALI KWA HUZUNI BAADA YA KUONDOKEWA NA MAMA YAKE MZAZI MARIAMU BEATRICE NAPELLA.





KAIMU KATIBU WA DAYOSISI FR LAMECK NDOMBA AKITOA SALAAM ZA RAMBIRAMBI.


WANA UMAKI WAKISINDIKIZA MWILI WA MAREHEMU KANISA LA MTAKATIFU NIKOLAO ILALA.
ASKOFU JOHN TENDWA AKITOA SALAAM ZA RAMBIRAMBI.

SINODI YA DHARURA..

MWENYEKITI SINODI YA DHARURA ASKOFU JACOB CHIMELEDYA.

BAADHI YA WAJUMBE MCHAKATO WA UCHAGUZI WA ASKOFU WA DAYOSISI YA DSM.


MKESHA KANISA LA MTAKATIFU BATHROMAYO UBUNGO.




Mkurugenzi wa Utume na Uinjilisti Fr Thomasi Mwayela akiwakaribisha washiriki wa mkesha.


VICAR GENERAL CANON JEROME NAPELLA AKIHUBIRI.


AFISA HABARI WA DAYOSISI NDUGU YOHANA SANGA AKIWA NA MKURUGENZI WA UINJILISTI KATIKA MAHOJIANO KITUO CHA UPENDO FM REDIO KUELEKEA MKESHA.

AFISA HABARI NA VICAR GENERAL WAKIWA KATIKA KITUO CHA PRAISE POWER REDIO.