Sunday, 27 March 2016

ASKOFU WA KANISA ANGLIKANA DAYOSISI YA DAR-ES-SALAAM DR, VALENTINO MOKIWA AONGOZA MISA YA KITAIFA YA PASAKA KANISA KUU LA MT ALBANO UPANGA DSM.


Mkuu wa Mkoa DSM Paul Makonda akiwa na mkewe katika misa ya Pasaka kanisa kuu Anglikana Mt Albano Upanga.

Mke wa Askofu Mokiwa Mama Grace Mokiwa akijumuika na waumini misa ya Pasaka.

Mh,,Mkuu wa Mkoa wa Dsm akisaini kitabu cha wageni misa ya Pasaka kanisa Anglikana  Mt Albano Upanga.

No comments:

Post a Comment