Wednesday, 28 June 2017

MATUKIO.KIPAIMARA,ZIARA VIONGOZI WA DAYOSISI,WANACHAMA UMAKI.


Mfanya kazi wa Kituo cha Afya cha kanisa Anglikana kilichopo Buguruni Malapa akitoa ufafanuzi katika kitengo cha upimaji kwa kaimu mtendaji wa Dayosisi Fr Lameck Ndomba na Ma Archidikini.


CHUMBA CHA UPASUAJI

MWL ALICE,ST AUGUSTINE NURSERY AND PRIMARY SCHOOL BUGURUNI MALAPA.

KICHWELE WOMEN CENTRE BUGURUNI MALAPA.

COMPUTER ROOM ST AUGUSTINE BUZA

YATIMA BUZA.

Askofu Mkuu Jacob Chimeledya akipeana mkono na mmoja wa waamini Ulongoni G,mboto
KAIMU KATIBU MTENDAJI WA DAYOSISI AKIFAFANUA JAMBO KTK MISA YA KIPAIMARA.


ASKOFU ELISHA JOHN TENDWA AKIWA NA BAADHI YA WAHITIMU MAFUNZO YA KIPAIMARA KIGANGO CHA KIMARA SUKA.








VICAR GENERAL CANON JEROME NAPELLA AKIWAINGIZA WANACHAMA WAPYA WA UMAKI.




RETREAT WAINJILISTI, BOKO

ASKOFU OSCAR MNUNG'A KATIKA  MISA YA KIPAIMARA

SISTER LUCY,MLEZI KITUO CHA WATOTO TATIMA BUZA AKITOA UFAFANUZI ZIARA YA VIONGOZI WA DAYOSISI.

No comments:

Post a Comment