Tuesday, 19 January 2016

KIKAO CHA KUFUNGUA MWAKA [UMAKI]2016

(kushoto)Mwenyekiti wa UMAKI Bi.Agnes Mandawa akiwa na Mratibu Bi.Edina Mdoe wakiwa katika kikao cha bajeti Kibaha Mkoani Pwani

Mwenyekiti wa UMAKI Bi Agnes Mandawa akifafanua jambo

Akina Mama wa UMAKI wakiwa katika sala kabla ya kuanza kikao cha Bajeti

Akina mama wa UMAKI wakipata chakula baada ya kikao cha kufungua mwaka cha Bajeti

PICHA VIKAO VYA UTENDAJI KAZI 2016.

Askofu Valentino Mokiwa akiongoza kikao cha Management


Afisa Habari na Mawasiliano wa Dayosisi ya Dar es salaam kanisa Anglikana Yohana Sanga akichukua matukio ya vikao vya Dayosisi

Mhazini wa Dayosisi John Semizigi akifafanua jambo kwa mapadre na wainjilisti kuhusu bajeti ya mwaka 2016

Mapadre wakifuatilia bajeti ya mwaka 2016


Balozi Paul Rupia akifafanua Bajeti


Askofu Mokiwa akifafanua jambo mbele ya mapadre

Askofu Mokiwa akijumuika na Mapadre kwa chakula