Askofu Valentino Mokiwa akiongoza kikao cha Management |
Afisa Habari na Mawasiliano wa Dayosisi ya Dar es salaam kanisa Anglikana Yohana Sanga akichukua matukio ya vikao vya Dayosisi |
Mhazini wa Dayosisi John Semizigi akifafanua jambo kwa mapadre na wainjilisti kuhusu bajeti ya mwaka 2016 |
Mapadre wakifuatilia bajeti ya mwaka 2016 |
Balozi Paul Rupia akifafanua Bajeti |
Askofu Mokiwa akifafanua jambo mbele ya mapadre |
Askofu Mokiwa akijumuika na Mapadre kwa chakula |
No comments:
Post a Comment