Sunday, 29 May 2016

Askofu Dr Valentino Mokiwa awapandisha madaraja baadhi ya watumishi wa Dayosisi kuwa Mashemasi na Ma Padre.

Waamini wakishuhudia kupandishwa madaraja Mashemasi na Ma Padre Mt Albano Upanga Dsm.

Askofu Dr Valenti Mokiwa akiongoza misa  misa ya kuamriwa kuwa Mashemas na Ma Padre.

Kanisa Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam chini ya Askofu wake Dr Valentino Mokiwa yazidi kuzalisha Maaskofu.

Askofu mteule wa Dayosisi ya Ruvuma Canon Ruben Rafael Haule akiwa na mkewe akizungumza mbele ya wajumbe wa Standing Commitee baada ya kutambulishwa na Baba Askofu Dr Valentino Mokiwa.Mpaka sasa Dayosisi ya Dsm imetoa Maaskofu kumi

Friday, 27 May 2016