Askofu DR Valentino Mokiwa akiongoza ugeni wa Askofu Frith katika ofisi za Dayosisi. |
Askofu Frith akisaini kitabu cha wageni ofisi ya Askofu Dayosisi ya Dar es salaam. |
Askofu Frith akiongoza Misa Mtaa wa Nikolao Ilala. |
Ugeni wa Askofu Frith pia ulipokelewa na wanafunzi wa shule Mtakatifu Augustino inayomilikiwa na kanisa Anglikana Dayosisi ya Dsm iliyopo Buguruni Malapa |
No comments:
Post a Comment