NAOMBA BEI
Mratibu wa Umoja wa wanawake (UMAKI) wa Dayosisi Bi.Edina Mdoe akiinadi saa wakati wa sikukuu ya Mavuno katika kanisa la Kristo Ni Mfalme Kinondoni |
MAMA NI LANGO LA BARAKA
Father Napera akiendesha ibada ya sikukuu ya mavuno,ambapo katika ujumbe wake alisisitiza kuwa mwanamke ni nguzo ya pekee katika maendeleo ya Familia |
No comments:
Post a Comment