Canon Howard Castlebery toka nchini Marekani akizindua kisima kilichopo Tuangoma ambacho amekifadhili kupitia Dayosisi ya Dar es salaam. |
Katibu mkuu wa Dayosis Canon Jonathan Shenyagwa katikati akizungumza na mkuu wa shule ya Sekondari Minaki kulia Mwl Harold Chungu katika ziara ya uzinduzi wa kisima. |
Canon Joseph Opiyo akizindua kisima kwa maombi shule ya Sekondari Minaki Kisarawe Dsm. |
Canon Howard akizindua kisima. |
Kisima kimezinduliwa |
Bwawa la maji yaliyokuwa yanatumiwa na wanafunzi wa Minaki na wakazi wa Kisarawe ambayo si salama kwa matumizi ya binadamu. |
Katibu mkuu wa Dayosisi akisalimiana na waamini wa Kianglikana kanisa la Damu ya Yesu takatifu lililopo Ruvu Stesheni kabla ya uzinduzi wa kisima. |
Kisima kikifanyiwa maombi |
Huduma ya uchimbaji kisima ikiendelea katika kijiji cha Kisezi wilaya Bagamoyo |
Wananchi wa kijiji cha Kisezi wakilishukuru kanisa. |
No comments:
Post a Comment