Askofu Dakta Valentino Mokiwa akifungua kwa sala zoezi la harambee kuchangia ununuzi wa viwanja Kigango cha Makoka Ubungo Dsm tendo lililofanyika katika mtaa wa mt Batholomayo Ubungo.
|
Askofu Mokiwa akiwa na Mapandre na Mashemasi waliohudhuria harambee hiyo. |
Mwenyeji wa Harambee Shemasi Stephen Siwa wa kanisa Anglikana Ubungo |
Meza ya uhasibu,Katika harambee hiyo Ahadi ilikuwa sh,9,765800,Zilizolipwa sh,2,686,800 na kiasi kilichobaki ni 7,079000 |
Kwaya ya Kanaani ikiimba katika Harambee hiyo |
Peter Mamkwe,mpiga drums wa Kaanani kwaya. |
Jengo la kanisa la Mt Batholomayo Ubungo Anglikana likiwa katika hatua za ujenzi |
No comments:
Post a Comment