HONGERA ASKOFU LUGENDO
Askofu Julius Lugendo akila kiapo. |
Askofu Lugendo akiendesha ibada ya chakula cha Bwana. |
Askofu mstaafu kanisa Anglikana TZ akihubiri katika ibaba ya kuwekwa wakfu Askofu Lugendo. |
Waumini wakiwa katika maandamano ya Ibada hiyo. |
Profesa Kabudi msajili kanisa Anglikana TZ akisoma ratiba ya Ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Lugendo. |
Jopo la Mapadre waalikwa katika ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Lugendo. |
Kanisa lililofanyika Ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Lugendo mkoani Mbeya. |
No comments:
Post a Comment