Monday, 16 November 2015

MATUKIO YA KIPAIMARA MWENGE

Askofu Daktar Valentino Mokiwa kulia akiongoza waumini wa kanisa la mtaa wa Mt Petro na Paulo Mwenge kuingia katika kanisa hilo kwa ibada ya Kipaimara.

                      
                                                    BIBI APATA KIPAIMARA.


Mmoja wa wahitimu wa kipaimara Bi Ester Mongu mwenye umri wa miaka 80 akiwa katika hali ya furaha.

Bi Mongu akisaidiwa kusimama na Askofu baada ya kuwekewa mikono

Wahitimu.

Baadhi ya wafanyabiashara wa mashada wakiwa nje ya kanisa hilo.

Mwonekano wa kanisa la Mt Petro na Paulo  kwa nje likiwa katika hatua za ujenzi.

                                                        UMAKI YAPATA JENGO
Mwonekano wa jengo jipya la ofisi ya umoja wa akina Mama wa Kikristo lililojengwa kwa ushirikiano wa Dayosisi na umoja huo likiwa maeneo ya ofisi kuu ya Dayosisi.

1 comment:

  1. Hongera Umaki...Taasisi hii inastahili ofisi za kudumu! Keep the good work of serving God and God's people.

    ReplyDelete