Jengo wanaloishi watoto yatima Valentine Chidren's home kituo kinachofadhiliwa na Askofu Dr Valentino Mokiwa wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Dar-es-salaam na wahisani kutoka nchi za nje. |
Askofu Dr Valentino Mokiwa akifurahi pamoja na watoto yatima Buza. |
TUIMBE
Askofu Mokiwa akiimba na watoto yatima. |
Askofu Mokiwa akitoa zawadi kwa watoto yatima. |
Sister Lucy Lipenga akihudumia kuku ikiwa ni sehemu ya mradi uliopo kituo cha Watoto yatima Buza. |
Mbuzi,sehemu ya mradi uliopo katika eneo la kituo cha watoto yatima cha Valentine chidren'home. |
Askofu Mokiwa akiwa na walezi wa kituo hicho. NANI ANAJUA KUCHEZA MPIRA ? |
HAMNIWEZI!
Askofu mokiwa akicheza mpira na watoto yatima wa kituo cha Valentine Chidren's home. |
kisima cha maji kinachotumia umeme wa solar kwa ajili ya kuhudumia kituo cha Watoto yatima Valentine. |
No comments:
Post a Comment